Habari kuhusu Angola kutoka Januari, 2010

Angola: Kombe La Mataifa ya Afrika Moja Kwa Moja Kwenye Mtandao

  12 Januari 2010

Pata habari za Kombe la Mataifa ya Afrika yanayofanyika nchini Angola moja kwa moja: “Kwa wale ambao wangependa kuangalia Kombe la Mataifa ya Afrika 2010 kwenye mtandao, kutakuwa na tovuti za michezo zinazotoa mtiririko wa mapambano ya mpira moja kwa moja mtandaoni, bure.”