Habari kuhusu Angola kutoka Novemba, 2009

Angola: Gharama za Juu za Maisha Mjini Luanda

  10 Novemba 2009

Gharama kubwa ya maisha nchini haieleweki: viashiria vya maendeleo vya hali ya juu havishabihiani na hali ya kifedha ya Waangola wengi na havitafsiriki katika viwango vya maisha vya wasio na hali nzuri kiuchumi.