Habari kuhusu Sri Lanka kutoka Machi, 2014
Wanawake wa Sri Lanka na Mbinu za Kuzuia Mimba
Mwandishi, Mpiga picha na mwanablogu Meg at Life in Lanka anaripoti kuwa kwenye sehemu za vijini nchini Sri Lanka baadhi ya wanawake hawana kauli kuhusu aina ya mpango wa uzazi wanaoutaka. Waume zao hawatumii kondomu na wanapenda wake zao watumie mbinu nyingine za kupanga uzazi; kwa hiyo njia rahisi inayopatikana...