· Novemba, 2009

Habari kuhusu Nepali kutoka Novemba, 2009

Nepal: Mapinduzi Ya Gesi Inayotokana na Samadi

  8 Novemba 2009

Nchini Nepal karibu asilimia 87 ya kaya zinategemea kuni kama chanzo cha nishati. Hata hivyo, vituo vya kuzalisha gesi inayotokana na samadi vinajitokeza kwa idadi kubwa nchini Nepal na kuanzisha mapinduzi ya kijani.