· Septemba, 2013

Habari kuhusu Bhutan kutoka Septemba, 2013

Bhutan: Sheria za Uchaguzi Zahitaji Mabadiliko

  30 Septemba 2013

Yeshey Dorji anaunga mkono hatua ya Baraza la Taifa Butan kuanzisha mjadala wa rushwa wakati wa uchaguzi ambazo zimeripotiwa wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopita zinazohitaji marekebisho yanayowezekana ya sheria ya uchaguzi.