Habari kuhusu Bangladesh kutoka Septemba, 2020
Machapisho Katika Kurasa za Facebook Zachochea Ongezeko la Watu Kukamatwa Huko Bangladesh, Wavuti Waingiwa na Wasiwasi
Watu wawili walikamatwa Mei 14 na 15, kwa sababu ya maoni waliyobandika Facebook. Kukamatwa kwao kumeamsha hasira na wasiwasi katika mitandao ya kijamii huko Bangladesh.