Habari kuhusu Bangladesh kutoka Julai, 2016
Picha za Kale Zarejesha Kumbukumbu Nzuri za Mji Mkuu wa Dhaka nchini Bangladesh
"Hapo ndipo nilipokulia hadi nilipokuwa kijana na ninajaribu kupata hisia ya namna siku hizo zilivyokuwa nzuri. Hizo zilikuwa siku njema sana kwa jiji langu pendwa la Dacca na siyo Dhaka."