· Agosti, 2008

Habari kuhusu Bangladesh kutoka Agosti, 2008

Bangladeshi: Ku-twita na kublogu tetemeko la ardhi

5 Agosti 2008

Tetemeko la ardhi la wastani lilitikisa jiji la Dhaka siku ya tarehe 27 Julai mnamo muda wa saa 00:51 kwa saa za Bangladeshi (+6 GMT). Russell John anaripoti katika blogu yake: Nilikuwa nimelala kwenye kitanda changu huku nikongea kwa simu na rafiki yangu, na ghafla nikahisi kitanda kikitetemeka. Ndani ya...