Habari kuhusu Marekani kutoka Julai, 2016
Ayatollah Khomeini Alifariki Miaka 27 Iliyopita, Lakini Msaidizi wa Trump Anamtaka Alaani Shambulio la Nice Hivi Karibuni
Akiongea kwenye Kituo cha Fox News akiwa na Megyn Kelly, Flynn alisema kwa hasira, “Ninamtaka Imam, au Khomeini, atoke hadharani alaani itikadi hii ya isiyojitenga na damu ya Uislamu."
Kijana Mkimbizi Raia wa Liberia, Aliyejipatia Elimu Marekani, na kisha Kuamua Kurudi ‘Nyumbani’
Mercy Krua ni mkimbizi wa Liberia anayeishi Boston. Mtoto wake pia alikuwa mkimbizi kutoka Liberia. Hata hivyo, kijana huyu ameamua kurudi na kuishi nchini Liberia.