Habari kuhusu Yemen kutoka Oktoba, 2013
Yemeni: Bundi Atua Nje ya Dirisha Langu
Mwanablogu wa Yemeni, Abdulkader Alguneid amkuta bundi nje ya dirisha lake: Kupitia mtandao wa Twita, anaelezea tukio hilo ambalo ni nadra sana kutokea: بومة كبيرة خلف زجاج نافذتي، 1.30 بعد...