· Oktoba, 2013

Habari kuhusu Saudi Arabia kutoka Oktoba, 2013

GV Face: Wanawake Nchi Saudi Arabia Wanuia Kuendesha

GV Face  5 Oktoba 2013

Katika toleo la GV Face wiki hii, tunakutana na mwanablogu wa Jeddah na mwandishi Tamador Alyami anayeunga mkono kampeni ya #WanawakeWataendesha, Hadeel Mohammed, Mwandishi wetu wa Saudia anayeishi Dammam na Mhariri wetu wa Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini Amira Al Hussaini