Habari kuhusu Jordan kutoka Februari, 2015
Raia wa Jordan Washitushwa na Video ya Mauaji ya ISIS, Wamkumbuka Mwanajeshi Aliyeuawa Kishujaa
Muonekano wa kutisha wa video ya mauji ya Rubani wa Jordan imewashitua wengi, lakini baadhi ya watu hawakukubali kuruhusu propaganda za ISIS za kuharibu kumbukumbu nzuri ya shujaa huyu aliyeuawa.