Habari kuhusu Bahrain kutoka Aprili, 2014
Siku ya Wajinga: Waislamu Hawaruhusiwi Kudanganya Kamwe
Pamoja na maonyo, kwamba kufuata mkumbo wa Siku ya Wajinga Duniani kidini adhabu yake ni moto wa milele, watumiaji wa mitandao Uarabuni, waliitumia siku hii kuzikosoa serikali zao.