Habari kuhusu Bahrain kutoka Oktoba, 2013
Rafiki Yangu Anateswa kwa Ku-blogu
Safy ni mtu wa kawaida aliyewahi kufanya kazi kama afisa wa Teknohama mpaka aliposhuhudia rafiki yake akipigwa risasi na polisi wa kutuliza ghasia wakati wa majuma ya mwanzo ya mapinduzi. Hakuweza kuendelea kuwa "mtu wa kawaida" baada ya tukio hilo.