Habari kuhusu Peru kutoka Septemba, 2013
Daktari wa Peru ni Miongoni mwa Waathirika Waliopeza Maisha Westgate
Shirika la Habari la Andina limearifu [es] siku ya Jumamosi, Septemba 21, 2013, kwamba daktari wa ki-Peru Juan Jesús Ortiz ni mmoja wa watu waliuawa katika shambulizi la kigaidi lililotokea...
Peru: Wafanyabiashara Wachoma Nguo Kupinga Bidhaa za Kichina
Wafanyabiashara kutoka eneo la Gamarra [es], kituo maarufu cha viwanda vya nguo na ambako ndiko lilipo eneo la kibiashara jijini Lima, walichoma nguo zilizoingizwa kutoka China [es] katika mitaa kupinga biashara hiyo ya nguo...