Habari kuhusu Peru kutoka Novemba, 2010
Peru: Kampeni ya Kuzuia Kufungwa kwa Maktaba ya Amazon
Juan Arellano wa Globalizado [es] anaripoti juu ya kampeni ya kuzuia kufungwa kwa maktaba huko Iquitos, Peru , maktaba ambayo inatilia mkazo vitabu na masuala yanayohusu Amazon. Maktaba hiyo ni...