Habari kuhusu Nicaragua kutoka Mei, 2019
Mwaka Mmoja Baada ya Maandamano wa-Nicaragua Hawaishii Kutaka Ortega Aondoke -Wanataka Mwanzo Mpya
"[Tunahutaji] kuung'oa udikteta, vitendo vya ngono, na tabia nyingine za hovyo zilizopenya kwenye utamaduni wa siasa za nchi hii."