Habari kuhusu Mexico kutoka Agosti, 2015
Unataka Kuuona Mji Huru wa Kwanza wa Kiafrika Barani Amerika? Nenda nchini Mexico
Waafrika-Wa-Kimexicowanajivunia kuwa sehemu ya simulizi ya “El Yanga,” aliyejulikana dhahiri kama Mfalme aliyekuwa mateka kutoka katika kabila la Yang-Bara la Gabon, ambaye aliwasaidia watumwa kupata uhuru kutoka kwa Waspaniola kwenye miaka ya 1570.