Habari kuhusu Mexico kutoka Januari, 2009
Meksiko: Mtaalamu wa Kuzuia Utekaji Nyara Atekwa
Meksiko inakabiliwa na wimbi la uhalifu wa jinai, ambamo wote raia wa ndani na wageni wanaviziwa kutekwa nyara. Tukio la karibuni lilitokea katika Saltillo, Coahuila, wakati mtaalamu wa kuzuia utekaji...