Habari kuhusu Colombia kutoka Septemba, 2014
Kolombia: Hapana kwa Utalii wa Ngono Mjini Medellín
Kufikia katikati mwa mwezi Julai 2014, ukurasa wa Facebook Hapana kwa utalii wa ngono ulianzishwa, kwa lengo la kukuza uelewa kuhusu utalii wa ngono nchini Kolombia. Wikipedia inatafsiri dhana hiyo:...