Habari kuhusu Colombia kutoka Mei, 2014
Gharama na Faida ya Kombe la Dunia Nchini Brazil
Blogu ya Daniel Bustos kutoka Colombia kuhusu uchumi wa Kombe la Dunia nchini Brazil na baada ya kugusia suala lisilo epukika la rushwa, inasema: Hatimaye, Brazil itatumika kama “panya” kwa...
Colombia: Watoto 32 Wafariki Kwenye Mkasa wa Moto
Vyombo ya habari Colombia vinaripori [es] vifo vya watoto 32 uliosababishwa na moto katika basi, katika kitongoji cha Fundación mjini Magdalena, Kaskazini mwa Colombia. Tukio hilo la kutisha lilitokea Jumapili...
Maktaba na Utamaduni Huru
Blogu kutoka Parque Biblioteca Tomás Carrasquilla – La Quintana, huko Medellin, Colombia, inaelezea [es] msaada wake kwa utamaduni huru. Baada ya kueleze namna ya kuleta utamaduni wa uhuru [es], blogu...
Colombia: Hatua za Kudhibiti Mashambulizi ya Kemikali
Ili kuepusha mashambulizi ya kemikali yanayowalenga hasa wanawake katika maeneo mbalimbali ya nchi, serikali ya Colombia itaanza kudhibiti [es] mauzo ya rejareja ya kemikali ya ‘chokaa’ na vitu vya kemikali...
Madai ya Ukiukaji wa Haki za Binadamu Wakati wa Mgomo wa Kilimo Nchini Colombia
Tovuti ya ‘kongamano la watu’ imeshutumu hadharani [es] uvunjifu wa haki za binadamu unayoendelea katika mgomo wa kilimo [es] nchini Colombia. Wanaripoti madai ya ukiukaji wa haki za binadamu katika...
Colombia: Kuanguka kwa Mgodi Kwasababisha Vifo na Uharibifu
Watu wasiopungua watatu walikufa na kati ya watu 25 na 30 wamenaswa baada ya kuanguka kwa mgodi ulikuwa unaendeshwa kinyume cha sheria katika idara ya Cauca, kusini magharibi mwa Colombia,...