Habari kuhusu Colombia kutoka Machi, 2014
Uwakilishi wa Kisiasa: Mapambano ya Raia wenye Asili ya Afrika Waishio Colombia
Ikiwa na idadi ya watu milioni 5, au asilimia 10.6 ya idadi ya watu wote wa nchi hiyo, Colombia ina idadi kubwa zaidi ya watu wenye asili ya Afrika katika...