· Januari, 2010

Habari kuhusu Colombia kutoka Januari, 2010

Colombia: Ugumu wa Kutofautisha Wazuri na Wabaya

  23 Januari 2010

Kwa kupitia upigaji video wa kiraia, asasi tofauti nchini Colombia zinatoa mitazamo yao kuhusu uhalifu, unyama na migogoro inayohusisha matumizi ya silaha, ambayo ni vigumu kuwatofautisha watu wazuri kutoka kwa wabaya.