Habari kuhusu Korea Kusini kutoka Mei, 2014
Mazungumzo ya GV: Je, Utamaduni Ulisababisha Washindwe Kuokolewa Kwenye Ajali ya Kivuko?
Mitazamo potofu kuhusu Wakorea Kusini inaendelea kusambaa kwenye habari zinazotangazwa kuhusu kivuko kilichozama. Je, wahanga hao walikuwa na utii uliopindukia kiasi cha kushindwa kuokolewa?