Habari kuhusu Korea Kusini kutoka Agosti, 2008
Korea: Wajibu wa Kitaifa Wachuana na Dhamiri
Kijana mmoja anayetumikia jeshi kama askari polisi aliamua kutorudi kwenye kikosi alichokuwa akifanya kazi baada ya likizo na alipeleka taarifa kuwa dhamiri yake ilikuwa ikimshtaki. Sababu ilikuwa kwamba dhamiri yake...