· Mei, 2013

Habari kuhusu Singapore kutoka Mei, 2013

Maelfu ya Wafanyakazi Waandamana Barani Asia

  4 Mei 2013

Global Voices inayapitia kwa haraka maandamano ya Siku ya Wafanyakazi Mei Mosi kwenye nchi za Cambodia, Filipino, Indonesia na Singapore. Mikutano, ambayo iliandaliwa kudai haki za wafanyakazi na makundi mengine ya utetezi, yalifanyika kwa amani katika bara lote la Asia ya Kusini Mshariki.