· Oktoba, 2012

Habari kuhusu Singapore kutoka Oktoba, 2012

‘Mazungumzo ya Kitaifa’ Nchini Singapore Yatafanikiwa?

Katika juhudi za kupangilia mustakabali wa Singapore, serikali imezindua “mazungumzo ya kitaifa” yatakayodumu kwa mwaka mmoja ili kukusanya maoni ya watu. Baadhi ya wananchi wameupokea mpango huo kwa mikono miwili lakini pia wapo wengine wanaoupinga wakiuona kama mbinu tu ya kujiweka karibu na wananchi.

27 Oktoba 2012