· Oktoba, 2009

Habari kuhusu Ufilipino kutoka Oktoba, 2009

Uanaharakati na Umama Barani Asia

  24 Oktoba 2009

Je, mwanamke anatoa sadaka zipi ili kupigania jambo analiamini? Je, watoto wake wanaathiriwa vipi na mateso yanayoelekezwa kwake? Makala hii inachambua kwa kifupi maisha ya wanawake wanaharakati katika Asia ambao pia ni ma-mama.