Habari kuhusu Korea Kaskazini kutoka Agosti, 2017
Mkimbizi na Mchora Vibonzo wa Korea Kaskazini Achora Kuhusu Maisha Yalivyo Kwa Watu Wanaotoroka
Akiwa mtoto, walimu walimsifu Choi Seong-guk kwa michoro yake ya wanajeshi wa Kimarekani ambapo anasema aliwafanya waonekane "wabaya na wakatili kadri ilivyowezekana."