Habari kuhusu Laos kutoka Novemba, 2013
Kuwaokoa Akina Mama na Watoto Nchini Laos
Kundi la CleanBirth.org lina nia ya kuboresha hali ya huduma ya afya ya uzazi katika baadhi ya vijiji vya Laos vijijini kwa kutoa vifaa vya kuzalisha, mafunzo ya wauguzi wapya...