Habari kuhusu Indonesia kutoka Novemba, 2013
Msongamano Gerezani Nchini Indonesia
Leopold Sudaryono anakabiliana na tatizo la msongamano wa magereza nchini Indonesia. Mwaka wa 2011, kulikuwa na wafungwa 144,000 kwenye nchi. Magereza yaliripotiwa kuwa na msongamano mkubwa na asilimia 45 kwa...