Habari kuhusu Indonesia kutoka Juni, 2013
Athari za Mazingira kwa Uchimbaji Madini Nchini Indonesia
Makala iliyochapishwa katika mtandao wa mongabay.com imefichua athari za uharibifu wa kimazingira ziazotokana na shughuli za uchimbaji madini katika maeneo ya vijiji nchini Indonesia. Baadhi ya wanazuoni wanahofia kwamba maeneo mengi nchini Indonesia yana...