Habari kuhusu Hong Kong (China) kutoka Mei, 2014
Hong Kong: Mfanyakazi wa Ndani Apigwa Makofi, Mateke na Kulazimishwa Kufanya Kazi Masaa 21 kwa Siku
Kesi nyingine ya unyanyasaji wa mtumishi wa ndani wa kigeni imefichuliwa. Mhanga huyo Rowena Uychiat inadaiwa alilazimishwa kufanya kazi masaa 21 kwa siku (6:00 mpaka 03:00) bila kupewa siku ya...