Habari kuhusu Kambodia kutoka Juni, 2018
Taarifa ya Raia Mtandaoni: Sheria Mpya Cambodia na Tanzania Zimelazimu Vyombo vya Habari vya Kujitegemea Kuwa Kimya au — Kufungwa
Taarifa ya raia mtandaoni ya Advox inaangazia taswira ya haraka kimataifa juu ya changamoto, ushindi na mienendo inayoibuka katika haki za kimtandao duniani.