Habari kuhusu Kambodia kutoka Oktoba, 2012
Kambodia Yaomboleza Kifo cha Mfalme Norodom Sihanouk
Nchi ya Kambodia inaomboleza kifo cha baba Mfalme Norodom Sihanouk aliyefariki tarehe15 Ockoba, 2012. Mamilio ya watu walisubiri pembezoni mwa barabara itokayo uwanja wa ndege kwenye kwenye makazi ya kifalme kutoa heshima zao za mwisho kwa Mfalme.