Habari kuhusu Kazakhstan kutoka Januari, 2011
Kazakhstan: Wanablogu Wajadili Dini
Kwa kuwa Kazakhstan haina sera bayana ya dini, imekuwa ada kwamba kila mtu ana uhuru wa kuwa na mtazamo wake katika masuala ya kiimani. Kama ilivyokuwa miaka ishirini iliyopita, hakuna...