Habari kuhusu Armenia kutoka Aprili, 2017
‘Kwa nini Siwezi Kumbusu Mpenzi wangu wa Kike Hadharani?’ Simulizi ya Mwanamke Basha wa Armenia
Mwanamke basha aweka bayana historia ya maisha yake na kueleza harakati zake zenye changamoto lukuki za kuwakomboa wasagaji kutoka kwenye jamii ya mfumo dume isiyoamini uhusiano wa kimapenzi wa watu wa jinsia moja.