· Aprili, 2014

Habari kuhusu Trinidad na Tobago kutoka Aprili, 2014

Robert Antoni Ashinda Tuzo ya Boca 2014 ya Fasihi ya ‘Caribbean’

  30 Aprili 2014

Mwanablogu wa Jamaika aishiye ughaibuni Geoffrey Philp anataarifu kuwa Robert Antoni, mwandishi wa kitabu cha “As Flies to Whatless Boys”, ameshinda Tuzo ya One Caribbean Media Bocas 2014 kwa Fasihi ya Nchi za ‘Caribbean’ wakati blogu ya ‘Repeating Islands’ ikichapisha pitio la kitabu riwaya yake hapa.