Habari kuhusu Jamaica kutoka Mei, 2018
Zoezi la Historia Lililotolewa Shuleni Kuhusu Namna ya Kufundisha Utumwa Lazua Mzozo Jamaica
"Sasa kwa zoezi hili, je, Hillel wangeweza kutoa zoezi kuhusu Vita vya Pili vya Dunia ili mwanafunzi aje na mbinu za Ujerumani iliyotawaliwa na Manazi kuwaua Wayahudi?"