Habari kuhusu Jamaica kutoka Septemba, 2010
Jamaika: Banton Ajitayarisha Kwenda Mahakamani
YardFlex.com anaifuatilia kesi ya umiliki wa madawa ya kulevya inayomkabili Buju Banton na ambayo itaendeshwa siku ya Jumatatu huko Marekani. Kutokana na taarifa zinazosema kwamba washtakiwa wenzake wawili wameamua kuwa...