Habari kutoka Muhtasari wa Habari na Zimbabwe
Ombi kwa Papa Francis Kuchukua Hatua Kupinga Madikteta wa Afrika
Une pétition en ligne adressée au Pape pour demander l'excommunication des dictateurs africains de l'Angola, de la Guinée Equatoriale, du Cameroun, du Congo et du Zimbabwe.
Je, Madaraka ni Matamu Kiasi cha Watawala wa Afrika Kushindwa Kuyaachia?
Gershom Ndhlovu anaangalia sababu za kwa nini watawala wa Afrika hawataki kuachia madaraka: Kumekuwepo na tetesi, dondoo na hata uvumi kuhusu afya au basi udhaifu wa afya ya Rais wa Zambia Michael Chilufya Sata, aliye madarakani tangu Septemba 2011. Tetesi hizi zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii kiasi kwamba serikali...
Hali ya Kidiplomasia Kati ya Zimbabwe na Nchi za Magharibi
Simukai Tinhu, mchambuzi wa masuala ya siasa anayeishi London, anauliza, “Je, mahusiano ya Zimbabwe na nchi za kimagharibi yanaimarika kadri uchaguzi unavyokaribia?”
Kwa nini Mashirika ya Umma Yameshindwa Nchini Zambia
Elias Munshya, mwanasheria na mchungaji wa Zambia, anaeleza kwa nini mashirika ya umma yamedumaa nchini Zambia tangu uhuru: Mashirika ya umma hayajawahi kutengeneza faida tangu mwaka 1964. Yamekuwa yakiendeshwa kiholela bila utaalamu wa kibiashara bali kisiasa. Mashirika haya hayajawahi kuwa na wataalamu wanaoendesha bodi husika bali yamejaa wafanyakazi kwa misingi...
Zimbabwe: Uchumi Unapinda Kona Nzuri?
Je, uchumi wa Zimbabwe unapiga kona kuelekea sehemu nzuri? anauliza mwanablogu wa Ghana, Abi.