Habari kutoka Muhtasari wa Habari na Umoja wa Falme za Kiarabu
Salamu, Brazil: Mashabiki wa Kiislam wa Kandanda na Kombe la Dunia la FIFA
Raia wa Colombia aliye na makazi yake katika Umoja wa Falme za Kiarabu, Marcelino Torrecilla anatuhabarisha [es] kuhusiana na upekee wa mashabiki wa kiislamu wa mpira wa miguu kwenye Kombe la Dunia la FIFA, 2014 : Katika Kombe la dunia, waislamu 50,000 wamesili kutoka katika mataifa mbalimbali kama vile Irani,...