Habari kutoka Muhtasari wa Habari na Sri Lanka
Mapigano Dhidi ya Waislamu Yaendelea Nchini Sri Lanka
Yametimu majuma mawili tangu ghasia dhidi ya Waislamu kwenye majiji ya pwani nchini Sri Lank- Aluthgama na Beruwala. Ingawa hali imetulia baada ya kulaaniwa sana kila sehemu, bado ghasia hizo dhidi ya Waislamu zinaendelea katika maeneo tofauti ya Sri Lanka. Mwanablogu Abdul Khaleq anatwiti kuhusu tukio moja huko Ratmalana sehemu...
Wanawake wa Sri Lanka na Mbinu za Kuzuia Mimba
Mwandishi, Mpiga picha na mwanablogu Meg at Life in Lanka anaripoti kuwa kwenye sehemu za vijini nchini Sri Lanka baadhi ya wanawake hawana kauli kuhusu aina ya mpango wa uzazi wanaoutaka. Waume zao hawatumii kondomu na wanapenda wake zao watumie mbinu nyingine za kupanga uzazi; kwa hiyo njia rahisi inayopatikana...
Vyombo Vikuu vya Habari Vyaihujumu Facebook
Mwanablogu wa Teknolojia Amitha Amarasinghe anadai kwamba mtandao wa Facebook unapewa taswira hasi na vyombo vikuu vya habari nchini Sri Lanka kwa vichwa vya habari kama “Mwanafunzi ajiua shauri ya picha iliyowekwa Facebook”, “Mapenzi ya Facebook yaishia na kifo” na kadhalika. Ghafla tu, kuna mwongezeko mkubwa wa maudhui yanayotoa taswira...
Sri Lanka: Kulipia Vyombo Vya Kimataifa Vya Habari kwa Ajili ya Uchaguzi wa Ndani
Kampeni kabambe ya Rais wa Sri Lanka aliye madarakani, Mahinda Rajapakshe inajumuisha manunuzi ya nafasi za matangazo katika tovuti mashuhuri za vyombo vya habari duniani. Groundviews anahoji sababu ya kuvilipa vyombo vya habari vya kimataifa kwa ajili ya uchaguzi wa ndani ya nchi.