Habari kutoka Muhtasari wa Habari na Reunion
PICHA: Kimbunga BEJISA Chasababisha Uharibifu Mkubwa katika Visiwa vya Reunion
Januari 2, Kimbunga Bejisa kilisababisha uharibifu mkubwa katika kisiwa cha Reunion kilicho chini ya mamlaka ya Ufaransa. Mtu mmoja alifariki na wengine 15 kujeruhiwa vibaya, huku idadi ya nyumba zinazokadiriwa kufikia 82,000 zikiripotiwa kukosa huduma ya nishati ya umeme. Kimbunga hiki kimeshatulia na hali ya hatari imeshatangazwa kisiwani humo. Zifutazo...