Habari kutoka Muhtasari wa Habari na Mauritania
Kuchanwa kwa Korani Kwaleta Tafrani Nchini Mauritania
The Mauritanian capital Nouakchott witnessed violent clashes between security forces and an angry crowd after people tore up a copy of the Quran. One person was killed in the clashes.
Wafanyakazi Wavamia Majengo ya Serikali Nchini Mauritania
Siku ya Jumanne asubuhi, Mei 28, 2013, maelfu ya vibarua, wanaolipwa ujira wao kwa kufanya kazi kwa siku, walianzisha maandamano makubwa [ar] huko Zouérat, mji mkuu wa jimbo la Tiris Zemmour kasikazini mwa Mauritania, wakidai mikataba inayoeleweka na haki zao nyinginezo ikiwa ni pamoja na kumalizwa kwa ukiritimba wa wafanyabiashara...
Wa-Mauritania Wapinga Udhalilishaji wa Viwanja vya Tahrir Square
Siku ya Jumanne Februari 12, 2013, kikundi cha wanaharakati wa ki-Mauritania kiliandaa [ar] maandamano mbele ya Ubalozi wa Misri jijini Nouakchott, mji mkuu wa Mauritania, kupinga udhalilishaji wa kijinsia na ubakaji ambao wanawake wa ki-Misri wamekuwa wakikumbana nao kwenye viwanja vya Tahrir jijini Cairo. Tukio hilo la maandamano liliratibiwa na “Etkelmi”...