· Disemba, 2013

Habari kuhusu Picha kutoka Disemba, 2013

Changamoto za Huduma ya Afya kwa Familia Katika Apatou, French Guiana

  23 Disemba 2013

Henri Dumoulin, mchangiaji wa Global Voices, anakumbuka kukaa kwake huko Apatou, French Guiana,sehemu iliyoko katika msitu wa Amazon. Anaelezea jinsi gani, kama daktari wa mpango wa ulinzi wa Afya ya Mama na Mtoto huko, alivyokuwa akitegemea ushirikiano rasmi na mfumo wa afya wa Suriname na kutizamwa mazingira ya lugha mbalimbali...

Brazil: Je Unamuenzi Mandela? Basi Saidia Haki za Binadamu

  13 Disemba 2013

Bango la kuonyesha heshima kwa Nelson Mandela limechukua umaarufu usiojulikana wa kiongozi wa Afrika Kusini nchini Brazil kwa kuwaita wale ambao wanaenzi urithi wake kusaidia haki za binadamu. Ujumbe huo ulienezwa na shirika lisilokuwa la kiserikali Conectas Human Rights katika Siku ya Haki za Binadamu, Desemba 10, 2013. “Tenda zaidi...

“Mimi ni Mchuuzi Mjerumani Mjini Dakar”

Muda mfupi baada ya kuwasili kwangu Senegal, nilikutana na kijana. Alinieleza hamu yake ya kuondoka Senegal katika mkutano wetu wa kwanza. Nilitaka kuelewa yaliyosababisha hamu yake ya kuondoka na hali ya maisha yake ya kila siku ili nipate kufahamu maelezo ya kijamii na ya kiutamaduni ya kutaka kwake kuondoka. Alikuwa...