Habari kuhusu Vijana
Shindano Dansi la Rais wa Kenya Lakwama Baada ya Wakosoaji Kuliita Dansi ya Aibu
"Wa-Kenya wanateseka na ukame huu na eti tunaombwa tucheze dab #DabYaAibu"
Kutana na Vijana wa Ecuado Wanaoendesha Kipindi cha Kwanza cha Lugha ya ki-Chwa Radioni Nchini Marekani
“Kipindi hiki kinahusu kujieleza na bila kuogopa kufanya hivyo.”
Jeshi la Nchini Thailand Lawaruhusu Watoto Kucheza na Bunduki halisi, Vifaru na Helikopta za Kijeshi
"Tunawawezesha watoto walifahamu vyema jeshi pamoja na zana zinazotumiwa. Kwa uzoefu wanaoupata, wanajifunza kulipenda jeshi na hata kuwa wanajeshi hapo baadae."
Vijana Wanaojifunza Mchezo wa Kuteleza Afrika Kusini Wafanya kama Filamu ya ‘Valley of a Thousand Hills’
Mchezo wa kuteleza hauna umaarufu sana nchini Afrika Kusini, hasa katika jamii za weusi. Kijana mmoja wa ki-Zulu anasema, "Tunajifunza kuteleza ili tuishi maisha mazuri yenye furaha"
Pamoja na Kutokupata medali hata moja, Nepali ina kila sababu ya kujivunia
"Pamoja na kuwa hakuweza kuweka rekodi mpya ya kitaifa, ninajivunia kuwa #GaurikaSingh aliogelea kwa heshima ya Nepal kama mwanamichezo mdogo kuliko wote kwenye mashindano ya Olimpiki ya #Rio2016."
Kuwa na Shahada Hakukuhakikishii Ajira Nchini China
"Kupata ajira ni kazi ngumu sana kwa kuwa yakupasa kuanguka na kuinuka tena mara nyingi iwezekanavyo."
Michoro Yaonesha Harakati za Raia wa Ufilipino Wakipambana na Ukandamizaji
Nchi ya Ufilipino ina idadi ya raia wazawa wanaokadiriwa kufikia milioni 14. Wengi wa raia hawa wanaoishi maeneo ya vijijini wapo katika hatari kubwa ya kuathiriwa na uharibifu unaotokana na shughuli za uchimbaji madini, harakati za utafutaji maendeleo pamoja na matumizi ya nguvu za kijeshi.
Ni Zaidi ya Wanablogu wa Zone9: Wa-Ethiopia Wengine Watumiao Intaneti Wakabiliwa na Mashtaka ya Ugaidi
Sambamba na kesi maarufu sasa ya wablogu wa Zone9, kuna wanablogu, wanaharakati wa mtandaoni na wanasiasa wengine wengi wa ki-Ethiopia waliowekwa ndani ingawa majina yao bado hayajatajwa. Mwaka uliopita mnamo Julai 8, 2014, Serikali ya Ethiopia iliwakamata viongozi kadhaa wa upinzani, wanablogu, wanaharakati wa mtandaoni na raia kadhaa wanaoguswa na mwenendo...
Hivi Ndivyo Chechen Inavyokabiliana na Kundi la ISIS
Video ya Kadyrov ikiwaonesha wanaume wa Chechen waliokamatwa kwa kushawishi watu kupitia mitandao ya kijamii ili wajiunge na kundi la ISIS, na wazee wanaoonekana wakiwakaripia ni ndugu zao pamoja na viongozi wa eneo wanaloishi wanaume hao
Baada ya Maandamano Burkina Faso na Burundi, Naija na Togo Zinafuata?
Wanaija 20,000 wameingia mitaani mjini Niamey, Naija mnamo Juni, 6. Kuna ababu nyingi za maandamano hayo: umaskini uliokithiri, utawala mbovu na kubanwa kwa uhuru wa kujieleza yakiwa ni moja wapo ya malalamiko ya asasi za kiraia nchini humo. Maandamano kama haya yalitokea katika nchi za Burkina Faso, Burundi na Togo....