Habari kuhusu Vijana
Utafiti wa Kwanza wa Kina Kuhusu Unyanyasaji wa Watoto Nchini Madagaska Unaonesha Hali Inatisha
Ripoti inasema asilimia 89 ya watoto wanadai kuathiriwa na unyanyasaji majumbani angalau mara moja wakati asilimia 30 ya vijana kinda wa kike katika Kisiwa cha Madagaska tayari wana mtoto.
Zoezi la Historia Lililotolewa Shuleni Kuhusu Namna ya Kufundisha Utumwa Lazua Mzozo Jamaica
"Sasa kwa zoezi hili, je, Hillel wangeweza kutoa zoezi kuhusu Vita vya Pili vya Dunia ili mwanafunzi aje na mbinu za Ujerumani iliyotawaliwa na Manazi kuwaua Wayahudi?"
Video ya Muziki Inayoigiza Utawala wa Junta Rule Nchini Thailand
Video huyo, ambayo bado ipo kwenye mtandao wa YouTube, imeenea kwa kasi mtandoani.
Kinachotokea Pale Baba na Mama Wanapokaribia Kufukuzwa Nchini Marekani
Wakati wazazi wake wakipambana wasifukuzwe, ndugu hawa wanaoishi San Diego wameamua kutumia mitandao ya kijamii kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia kugharamia matumizi ya kila siku.
Makosa ya Uhalifu wa Mtandaoni dhidi ya Mwanzilishi wa Kampeni ya Jeshi la Manyanga Yafutwa
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Seriakali ya Jamaica amemfutia mashitaka yote matatu yaliyokuwa yakimkabili mwanaharakati La Toya Nugent, chini ya sheria ya nchi ya makosa ya uhalifu wa Mtandaoni.
Simulizi la Shoga, Kijana Mweusi Aishiye Nje Kidogo ya Mji wa São Paulo, Aliyekuja kuwa Mtengeneza Filamu
"Siogopi kutengeneza video zangu na kuonesha sehemu ninayoweza kuiita nyumbani. Huu ndio ukweli wangu."
Msichana wa Afrika Kusini Anayeishi na VVU Aamua Kutokuficha Hali Yake
Watumiaji wa mtandao wa Twita duniani kote wanamsifia Saidy Brown, msichana wa miaka 22 wa Afrika Kusini, aliyetumia mtandao wa Twita mwezi uliopita kutangaza kuwa ameathirika na VVU.