Habari kuhusu Vita na Migogoro
“Nilitamani Wajukuu wangu Wakulie kwenye Nyumba Ile”:Ushuhuda wa Mwanamke wa Syria mwenye Miaka 61 kutoka Zamalka
Nilitamani wajukuu wangu wakulie kwenye nyumba ile, na hivyo kuweza kuongozea uhai mpya nyumbani pale, kama walivyofanya mabubu zetu wa kila kizazi kilichopita.
Kwa Kumbukumbu ya Aleppo
"Tuko salama, tunaendeleza mwendo, na ndoto lazima itimie."
Mwanahabari wa Mexico Aliyeuawa Cándido Ríos: ‘Silaha Zetu Hazirushi Risasi. Silaha Zetu Hurusha Ukweli’
"Juhudi zake zisizokoma za kulaani vitendo vinavyokiuka haki zilimfanya awe maarufu kwa wasomaji lakini pia maadui kama meya wa zamani wa mji wa Ríos aliyetishia kumwua mara kadhaa."
Salvador Adame ni Mwandishi wa Habari wa Saba Kuuawa Nchini Mexico Tangu Mwanzoni mwa 2017
"Ukweli haufi kwa kumuua mwandishi wa habari."
Kubaki au Kuondoka Hakutoi Mustakabali wa Wakazi wa Al-Waer Nchini Syria
Waasi pamoja na familia zao wanaihamisha ngome yao kutoka kwenye jiji hili lililobatizwa jina la "Kitovu cha Mapinduzi". Hizi hapa ni baadhi ya simulizi zao.
Manusura Wasimulia Kuhusu Hatari za Kuhama Kupitia Jangwa la Sahara
"...most migrants wish to forget and move forward with their lives and therefore tend not to share their experience with peers who are still back home."
Jeshi la Nchini Thailand Lawaruhusu Watoto Kucheza na Bunduki halisi, Vifaru na Helikopta za Kijeshi
"Tunawawezesha watoto walifahamu vyema jeshi pamoja na zana zinazotumiwa. Kwa uzoefu wanaoupata, wanajifunza kulipenda jeshi na hata kuwa wanajeshi hapo baadae."
Mfungwa wa Zamani wa Guantanamo Ahatarisha Maisha Yake Kwa Kugoma Kula Akishinikiza Kuunganishwa na Familia Yake
"Wamenifungia milango na kuniacha bila namna lolote na hii ndiyo njia pekee niliyonayo kujiokoa."
Yaliyojiri Wiki Hii Hapa Global Voices: Anahitaji Kutendewa Haki
Wiki hii, tunakuletea wanawake wanaosaka au wanaopata haki zao nchini Poland, Uruguay, Urusi na Syria.
Matangazo ya ‘Kwa Kina': Kura ya Hapana kwa Amani ya Colombia
Wiki hii, tunakuletea habari za kina kuhusu sababu ya raia wa Colombia kupiga kura ya hapana kupinga mkataba wa amani ambao ungemaliza vita vilivyodumu kwa zaidi ya miaka 50.