Habari kuhusu Michezo kutoka Januari, 2010

Togo Yaondolewa Kwenye Mashindano ya Kombe la Afrika baada ya Shambulizi Baya

Timu ya Taifa ya Togo sasa imeondolewa rasmi kutoka kwenye mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kufuatia shambulizi lililoelekezwa kwa msafara wa timu hiyo...

Angola: Kombe La Mataifa ya Afrika Moja Kwa Moja Kwenye Mtandao